Home » » Taswira Mbalimbali Za Ziara Ya Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Mashariki Ya Kati

Taswira Mbalimbali Za Ziara Ya Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Mashariki Ya Kati

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,mwenyeji wake Kiongozi wa Ras Al Khaimah,wakati alipowasili katika kasri ya kiongozi huyo Mjini Ras Al Kahimah, jana akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano wa mashirikiano na kukuza maendeleo ya sekta mbali mbali za maendeleleo,kama Afya,Elimu,Biashara nyenginezo za maendeleo.(12/11/2011)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kushoto)akiwa pamoja na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,wakishuhudia utiaji saini makubaliano kuhusu ushirikiano wa kukuza sekta mbali mbali za maendeleo,ambapo kwa upande wa Zanzibar Waziri wa kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Mhe Haroun Ali Suleiman,na Sheikh Abdullah Bin Humaid Al Qasimi kwa upande wa Ras Al Khaimah,saini hizo zimetiwa katika ukumbi wa kasri ya Sheikh Soud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,mwenyeji wake Kiongozi wa Ras Al Khaimah,wakati alipowasili katika kasri ya kiongozi huyo Mjini Ras Al Kahimah jana akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano wa mashirikiano na kukuza maendeleo ya sekta mbali mbali za maendeleleo,kama Afya,Elimu,Biashara nyenginezo za maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia kwa kutumia kifaa maalum cha uchunguzi wa vijidudu mbali mbali katika chumba maalum chuo kikuu cha sayansi ya Afya Mjini Ras Al Khaimah, akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kulia)akiangalia dawa mbali mbali zinazotengenezwa katika kiwanda cha Gulf Phamaceutical Industrries,kilichopo mjini Ras Al Khaimah,pia kupata maelezo,(kulia) Mkurugenzi Biashara za Nje Soud Ali Neaimi,(kushoto) Mkurugenzi katika kiwanda cha dawa, Saeed A. Chattha, akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendelea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifuatana na Dakatari Bingwa wa upasuaji Dr J.M.Gauer ,kutoka nchini Switzerland, katika hospitali ya Ras Al Khaimah, alipotembelea katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo,ikiwemo Afya ,Elimu,Biashara na Nyenginezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia baadhi wa vitabu na Waziri Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,Mhe Haroun Ali Suleiman,(katikati) na Mshauri wa Rais Uhusiano wa Kimataifa na Uwekezaji Mhe Balozi Ramia,katika makataba chuoni hapo,wakiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo,Mjini Ras Al Khaimah akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo.
Rais wa Zanmzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Ras Al Khaimah,alipowasili katika kasri ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,akiwa katika ziara ya kukuza uhusianao na ushirikiano katika sekta mbali mbali za maendeleo,zikiwemo Elimu,Afya,Biashara na nyenginezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akikaribishwa na Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ujenzi ya Rak Ceramics, Abdalla Massaad,wakati alipotembelea kuona vifaa mbali mbali vya ujenzi huko Ras Al Khaimah,akiwa katikam ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano katika sekta za maendeleo.(12/11/2011) 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji katika Hospitali ya Ras Al Khaimah,Raza Siddiquiwakati lipotembelea Hospitalini hapo na kuona harakati mbali mbali za huduma zinazotolewa kwa wananchi wa Mji wa Ras Al Khaimah akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano katika sekta mbali mbali za kimaendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ujenzi ya Rak Ceramics, Abdalla Massaad,wakati alipotembelea kuona vifaa mbali mbali vya ujenzi huko Ras Al Khaimah,akiwa katikam ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano katika sekta za maendeleo.(12/11/2011)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,( kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji katika Hospitali ya Ras Al Khaimah,Raza Siddiquiwakati lipotembelea Hospitalini hapo na kuona harakati mbali mbali za huduma zinazotolewa kwa wananchi wa Mji wa Ras Al Khaimah,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano katika sekta mbali mbali za kimaendeleo.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger