Home » » TAMASHA LA STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 FUNIKA BOVU NDANI YA DODOMA

TAMASHA LA STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 FUNIKA BOVU NDANI YA DODOMA

 Mkongwe wa muziki wa Hip Hop Juma Mchopanga(JAY MO)akifanya mambo kwenye steji ya Str8 muzik pale Royal Village mjini Dodoma
 Msanii kutoka nchini Kenya Nameless alikuwepo kuhakikisha Burudani Inatolewa kwa wakazi wa Dodoma..
 Hawa ndo walimaliza utata pale Royal Village mjini Dodoma...ni P UNIT kutoka Kenya
 Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali walikuwepo katika kupunguza Stress za Shule...hawa ni wanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma(Udom)
 Mashabiki wakipata Burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali mjini Dodoma
 Nilikuwepo kuhakikisha kila kitu kipo under control....Nipo na blogger Kutoka Lukaza Blog
 Ni burudani kwa kwenda mbele...Mdau akicheza kwa Hisia
 Baghdad kutoka Mexicana Lacavella aliwakilisha vilivyo pale stejini
 Huyu jamaa yeye huwa hachuji,,...Ni  Juma Kassim Nature kutoka TMK wanaume Halisi...Kwangu mimi He was a man of the Show...alifanya kweli sana...
 Mzee wa Tilalila Mr Blue alikuwepo kuwaimbisha mashabiki Tilalila...ilikuwa ni full Tilalila
 Nilishow love na Host of the show B12...
Vijana kutoka Udom namuona bwana Ruben hapo akishow love na Mr Blue jamaa pembeni hapo simkumbuki jina....

Mmiliki Na Muongozaji Wa LUKAZA BLOG JOSEPHAT LUKAZA nikishow love na Msanii Maarufu kutoka Nchini Kenya Nameless Mara Baada Ya Kushuka Kutoka Kwa  Steji
Wadau Wakijiachia Mbele ya Kamera Ya LUKAZA BLOG katika tamasha la STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 ndani ya Royal Village mjini Dodoma
B Dozen Akiwa Na Barnaba Katika Show Ya STR8 MUZIK iliyofanyika Mjini Dodoma
PICHA ZOTE NA LUKAZA BLOG
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger