Home » » UJENZI WA BARABARA WA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA KWA KASI

UJENZI WA BARABARA WA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA KWA KASI

 Malori ya Mchanga yakitoka kumwaga kifusi cha mchanga katika maeneo ya magomeni usalama kwaajili ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kwa kasi
 Ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kwa kasi ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana kwenye picha
 Mafundi wa wakiendelea na kazi za ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo kasi katika maeneo ya Magomeni Usalama kama wanayoonekana katika picha
 
 Picha Juu ni Ujenzi wa Daraja linajongwa katika Eneo la Kimara Mwisho katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi.
Barabara ya Morogoro katika eneo la kimara linavyooneka kwenye picha huku ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger