Home » » MWILI WA MPIGANAJI LUTENI JENERALI MAYUNGI 'MTI MKAVU' WAAGWA LUGALO DAR LEO

MWILI WA MPIGANAJI LUTENI JENERALI MAYUNGI 'MTI MKAVU' WAAGWA LUGALO DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Luteni Jenerali mstaafu , Silas Peter Mayunga, aliyefariki hivi karibuni. Shughuli ya kugwa kwa mwili ya marehemu Mayunga imefanyika leo , katika Kambi ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga, aliyefariki hivi karibuni. Shughuli ya kugwa kwa mwili ya marehemu Mayunga imefanyika leo , katika Kambi ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mmoja kati ya askati wa Jeshi la Uganda aliyefika katika kuwakilisha wenzake wa Uganda, akiweka sanini katika kitabu hicho cha maombolezo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ulinzi, Hussein Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mawaziri wastaafu, Joseph Sinde Warioba na Salim Ahmed Sailm, wakiwa katika shughuli ya mazishi.
Askari wa Uganda aliyefika kutoa heshima za mwisho kwa niaba ya wenzake wa Uganda.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Mayungi, wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Viongozi wa Serikali, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika kwenye Kambi ya Jeshi Lugalo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali staafu, Silas Peter Mayunga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Luteni Jenerali, Silas Peter Mayunga.
Wanafamilia ya marehemu wakilia kwa uchungu wakati wakiona Jeneza likiwasili mahala hapo.
Rais wa Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.
Waziri Mstaafu, Salim Ahmed Salim, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.
Waziri Mstaafu, Joseph Sinde Warioba, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.
Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.
Waziri wa Ulinzi, Hussein Mwinyi, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Peter Mayunga.Picha Zote Na Muhidin Sufiani
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger