Latest Post

Rais Jakaya Kikwete Aendelea na Ziara Yake Ya Kikazi Nchini Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na maji taka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais) leo Juni 5, 2013 huku mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi.Picha na IKULU

MAELFU WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADER

 Polisi Jamii kikosi Cha Mbwa na Farasi wakiwajibika na kuhakikisha amani na usalama unaendelea kuwepo katika viwanja vya leaders
 Polisi Jamii akihakikisha hakuna zengwe linalotokea
 Dj Choka Akihojiwa na Kituo Cha Runinga cha EATV
 Hii ndio Kamati nzima ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea
 Sehemu ya Wanakamati wa Mazishi ya Albert Mangwea Wa Pili Kushoto ni Lady Jay Dee, Prof Jay na Said Fella.
 Umati wa watu uliofurika leo katika Viwanja Vya Leaders
 Msanii wa Maigizo Kulwa Kikumba Aka Dude akibadilishana Mawazo na wasanii wenzake katika viwanja vya leaders leo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea Uliosafirishwa Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi hapo Kesho
 Polisi jamii....
Baadhi ya Wakazi wa Jiji Wakitoa heshima zao za Mwisho kabla mwili wa marehemu Albert Mangwea haujasafirishwa kupelekwa Mkoani Morogoro Kwaajili ya Mazishi hapo kesho
 Umati wa Wakazi wa Jiji la Dar wakishuhudia Zoezi la utoaji heshima za mwisho kabla ya mwili wa marehemu Albert Mangwea haujasafirishwa Kuelekea Mkoani Morogoro Kwaajili ya Mazishi hapo kesho
Askari wa Kikosi Cha Farasi nao walikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa
 Wakazi wa  Jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakiendelea kutoa heshima za mwisho
 Madada wakilia Kwa uchungu sana
 Uvumilivu uliwashinda na hatimaye na kudondoka huku wakilia kwa uchungu sana
 Umati ukiendelea kushuhudia
 Hii ndio kamati nzima ya Mazishi
Wakazi wa Jiji la Dar wakitoka Kutoa heshima zao za mwisho

NMB FAMILY DAY YAFANA SANA WAFANYAKAZI WAKUTANA


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger