Home » » MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA

MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA

 Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa akiwa na Viongozi wengine wa Chuo Kikuu Cha Dodoma katika Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012 katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni Hapo
Mwenyekiti Wa Bodi ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) Balozi Juma Mwapachu akiwa anasoma Hotuba katika mahafali tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 novemba 2012 katika viwanja vya Chimwaga
 Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa (Wa Kwanza Kushoto) akifuatiwa na Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula wakiwa katika Mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyofanyika tarehe 22 November 2012 katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula akisoma hotuba mbele ya Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa (Hayupo Pichani) katika mahafali ya tatu yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012
 Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa akimtunuku Mhitimu wa Shahada ya Uzamivu Mmoja kati ya wahitimu wa tatu wa shahada ya juu kabisa ya Uzamivu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 Novemba 2012
 Baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wa shahada mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao
 Wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Wakiwa na nyuso za Furaha mara baada ya kutunukiwa shahada zao katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika tarehe 22 novemba 2012 katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
 Mmiliki wa Lukaza Blog (Wa Pili Kushoto) akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika katika viwanja vya chimwaga tarehe 22 Novemba 2012
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger