Home » » taswira kutoka Maili Moja Kibaha

taswira kutoka Maili Moja Kibaha

Mzani wa Kibaha Maili Moja Magari yakiwa katika Foleni
Msafara wa malori ukielekea kwenye Mzani Wa Kibaha Maili Moja
Wakazi wa Mji wa Kibaha Maili Moja wakiwa kituoni Huku wengine wakisubiri Usafiri wa Kuwapeleka Mikoani na Wengine wakiwa hawana kazi aka wazee wa vijiwe na wengine wakisubiri Daladala kama walivyonaswa na Mpiga picha wa Lukaza Blog
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger