Home » » TASWIRA ZA ZIARA YA WANAFUNZI WA UDOM WALIPOKWENDA CAMP CONNECRTION MOROGORO MWISHONI MWA WIKI

TASWIRA ZA ZIARA YA WANAFUNZI WA UDOM WALIPOKWENDA CAMP CONNECRTION MOROGORO MWISHONI MWA WIKI


Ripota wenu Nikiwa tayari kwa Safari ya Kuelekea Morogoro Kwenye Ziara ya Simu Moja ambayo wanafunzi 22 kutoka UDOM tulikua tunaenda kufanya ziara Camp Connection iliyopo Morogoro
Msafara ulianzia hapa Kama unavyoona wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari mkoani dodoma nao walikua wakilelekea kwenye camp hiyo ambayo ni ya siku tatu ambapo imeisha leo.
Baadhi ya Wanafunzi Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya safari kuanza kuelekea Morogoro Mwishoni mwa Wiki.
Vilevile Safari yetu ilihusisha jinsi ya pili kama wanavyoonekana. Hawa pia Ni baadhi ya Wanafunzi Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).
Hili Ni Moja Ya Bwalo Kubwa sana La Camp Connection Morogoro ambapo Swala La Chakula Hufanyika hapa Na Wageni Ndio Tulikua tunawasili kama Inavyoonekana kwenye Picha
Wanafunzi Wa Shule za Sekiondari Tofautitofauti Wakitoa Burudani kabla ya Semina Kuanza Mida ya Saa 3 usiku siku ya Jumapili 
Moja ya Sheria katika Semina hiyo ilikua hivyo
Hilo ni Jukwaa kuu kabisa lenye theme ya Semina iliyofanyika Jumapili hadi Jumatano ya leo
Baadhi ya Wanafunzi Kutoka Shule mbalimbali za sekondari kutoka Morogoro na Dodoma wakiwa katika Semina ambapo mada ya semina hiyo ilikua ni POWER TO STAND
 Wanafunzi Kutoka UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara baada ya Kuwasili katika Kambi ya Camp Connection
Mandhari ni Kama yanavyoonekana katika Picha, Hali ya Hewa Nzuri, Sehemu Nzuri sana
Wadau Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja Muda mfupi kabala safari ya Kurudi Dodoma Haijaanza
Hapo Nyuma ya Hiyo Picha Ni sehemu ya Kuslide kwa wale wapenzi wa michezo ya kuslide kwenye maji.
Muda mfupi kabla safari ya kurudi Dodoma Haijaanza hapo.

Usingizi Hauna Baunsa Jamaa wote Chali kwa usingizi kama waivyonaswa na kamera ya Lukaza Blog
Muda wa Msosi Huo Kila mtu yupo busy kwenye kula hakuna story hapo
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger