Home » » MDAU SARITA SWALEH ANG'ARA KATIKA SHEREHE YAKE YA KUZALIWA USIKU WA KUAMKIA LEO MAISHA CLUB DODOMA

MDAU SARITA SWALEH ANG'ARA KATIKA SHEREHE YAKE YA KUZALIWA USIKU WA KUAMKIA LEO MAISHA CLUB DODOMA

Mdau Sarita Swaleh Akiwa na best yake Lighteness kabla ya sherehe ya Kuzaliwa kwake kuanza  Katika Club Maisha Dodoma usiku Wa Kuamkia leo
Hii ndio keki ya Siku ya kuzaliwa ya Sarita Swahele ilivyokua ikifanana kabla ya kukatwa
Mdau Sarita Swalehe Akitoa Shukrani kwa wadau waote walioweza kufika na kufanikisha sherehe nzima.
Sarita Swaleh Akiwa ameshikilia Shampeni tayari kwa kuanza kugawa ili waalikwa waweze kunywa na kuburudika
Mtoto Sarita Swaleh aliyezaliwa Jana Usiku alipokua akikata keki
Basi la Kampuni ya Shabiby likiwa limetia nanga kwenye lango kuu la kuingilia Club Maisha kwaajili ya kuwashusha wageni waalikwa wa sherehe ya kuzaliwa upya Mdau Sarita Swaleh ambapo sherehe hiyo ilifanyika usiku wa kuamkia leo
Wadau waliojitokeza Kumpa sapoti Sarita Swaleh katika Sherehe yake ya kuzaliwa upya usiku wa kuamkia leo kutoka kushoto ni Raphael, Damian na Steve
Sarita Akiwa na Maradiki zake katika Picha ya Pamoja katika sherehe ya kuzaliwa upya iliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Maisha Club Dodoma
Wadau wa karibu wa Sarita wakiwa makini Kufuatilia Mchakato mzima wa kukata keki na kufungua shampeni
Mmoja Wa Flowers akijiandaa kuifungua shampeni katika sherehe ya kuzaliwa upya mdau Sarita Swahel usiku wa kuamkia leo
Keki Ikiwa inawaka Mishumaa tayari kuashiria mtoto kazaliwa upya
 Mdau John Eugene na Francis wakijiachia mbele ya Kamera ya Lukaza Blog katika sherehe ya kuzaliwa upya Sarita Swaleh iliyofanyika Maisha Club Dodoma usiku wa kuamkia leo
Mdau francis akiwa na flower ndani ya maisha cluib katika sherehe
Kijana Mtanashati aka Big akifungua shampeni wakati wa sherehe ya kuzaliwa upya Sarita Swaleh hapo jana
Hapa Kamera iliwekwa mbali kidogo ili tuwe kuendelea na michakato ya Chakula.KWA PICHA ZAIDI <<< BOFYA HAPA >>>
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger