Home » » VIJANA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KUWATAFUTA WAWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA MICHUANO YA GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE

VIJANA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KUWATAFUTA WAWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA MICHUANO YA GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE

 Kijana akionyesha uwezo wake wa kumiliki mpira katika michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge itakayofanyika Nchi Afrika Kusini
 Wafanyakazi wa SBL wakisubiri vijana waliojitokeza kwaajili ya Kuwasajili vijana watakaokuwa wakichuana katika kutafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 Kijana akionyesha Uwezo wake wa Kumiliki na Kuchezea Mpira atakavyo katika michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge  iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 Hii Ndio Stage ya Guinness Football Challenge iliyopo siku hiyo ya Jumamosi katika Michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Guiness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akibadilishana mawazo na Mmoja wa wafanyakazi wa SBL Tanzania katika Michuano ya kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania katika Guinness Football Challenge  iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akipiga mpira wakati wa kuwatafuta wawakilishi watakaoiwakilisha Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge iliyofanyika jumamosi ya tarehe 24 Novemba 2012 katika viwanja Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Kijana akionyesha Majonjo yake katika michuano ya kuwatafuta wawakilishi watakaoiwakilisha Tanzania katika Michuano ya Guinness Football Challenge itakayofanyika nchini Afrika Kusini
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger