Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India Nchini Tanzania,
Dednath Shaw, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 21, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw,
wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov
21, 2012 kwa mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw,
wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov
21, 2012 kwa mazungumzo.Picha na OMR
Post a Comment