Home » » NAPE AHUTUBIA IRAMBA NA SINGIDA

NAPE AHUTUBIA IRAMBA NA SINGIDA

MWENYEKITI wa CHADEMA wilaya ya Singida mjini ambaye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu na Kamati Kuu ya CHADEMA, Nakamia John (kulia) akikabidhi kadi yake ya chama hicho kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipoamua kuhamia CCM katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu, uliofanyika jana.
Nape akihutubia mkutano wa hadhara katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Urughu wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mashabiki wa CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu wilayani Iramba mkoani Singida, jana.
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza ngoma na vijana wa kikundi cha Makhirikhiri wa Kisukuma, katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu, Iramba mkoani Singida jana.
Nape akiondoka kwenye mkutano bada ya kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Urughu wilayani Iramba mkoani Tabora jana.
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa kampeni za CCM katika kata ya Nkinga kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Igunga, mkoani Tabora, juzi.
Share this article :

+ comments + 1 comments

September 16, 2011 at 9:33 PM

mmhhhhhhhhhh

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger