Home » » JOSE CHAMELIONE ABADILI DINI AITWA GADHAFFI

JOSE CHAMELIONE ABADILI DINI AITWA GADHAFFI

Chamelione akibatizwa jina la Gaddafi
 
    Msanni toka Uganda Joseph Mayanja  a.k.a Jose Chameleone ameonekana msikiti wa Kibuli Ijumaa ya August 12,2011 akiwa amevaa mavazi ya dini ya kiislam na kubadadili dini Chameleone alifuatana na  wanachama toka Eagles Production members Haruna Mubiru na Grace Sekamate na baada ya kuingia kwenye dini ya Kiislam ametaka atambuliwe kama Gadhaffi Chameleone na si Jose Chameleone kama alivyojulikana awali na baadaye alisali sala ya Ijumaa na waumini wengine.
Habari Kwa Hisani Ya Unique Entertainment
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. PICHA NA HABARI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger