Katika ukaguzi huo Mbunge alibaini kutoendelea kwa ujenzi wa majengo mbalimbali ya uwanja huo kama mnara wa kuongoza ndege , mapokezi, na zimamoto yakiwa kama maghofu kama alivyotembelea Desemba 16, mwaka uliopita na kumtaka mhandisi wa ujenzi wa uwanja huo Bwana Amos Njoroge na Ferdinand Chami wahatakishe kukamilisha ujenzi huo kama walivyomuahidi Waziri wa Miundombinu alivyofanya ziara yake uwanjani hapo.
Mitambo ikiendelea kumimina lami katika barabara ya kurukia ndegeBrabara ya lami ikiwa imependeza baada ya kutengenezwa
Masine zikishindilia barabara hiyo
Amahakika zoezi la ushindiliaji lilikuwa likifanyika kwa nguvu moja na kwa umakini
Mashine ya kumwaga lamu ikiendelea kumwaga lami
Mhandisi Njoroge alisema kuwa uwanja huo umekamilika kwa asilimia 75, na nia yake ni kumamilika kama walivyoahidi kwa waziri wa miundombinu.
Wafanyakazi wakichimba mtaro wa maji
Majengo ambayo toka Desema 16, Mwaka uliopita yalikuwa hivi hivi na hivyo hakuna jitihada zozote zilizofanyika kuendeleza ujenzi, Je?, ifikapo Desemba mwaka huu na Wahandisi waliahidi kukamiliza watakuwa wameshakamirisha kwa kiwango kinachotakiwa.
Aidha Mbunge Dk Mwanjelwa aliridhishwa na ujenzi wa kiasi wa njia ya kurukia ndege ambapo sasa umeanza kuwekwa lami, ambapo alijionea wafanyakazi wakifanyakazi hiyo huku mitambo ikiendelea kufanya kazi kwa muda woteuwanjanihapo
Post a Comment